Ufafanuzi wa warsha katika Kiswahili

warsha

nomino

  • 1

    kazi inayofanywa kwa muda maalumu na kikundi cha wataalamu k.v. uandishi wa vitabu.

Asili

Kar

Matamshi

warsha

/war∫a/