Ufafanuzi msingi wa wasa katika Kiswahili

: wasa1wasa2

wasa1

nominoPlural wasa

  • 1

    kipande cha mti au ubao kinachotumiwa kuzibia au kupunguzia nafasi baina ya miti ya kuta au paa wakati wa kujenga.

Matamshi

wasa

/wasa/

Ufafanuzi msingi wa wasa katika Kiswahili

: wasa1wasa2

wasa2

kitenzi elekezi

Matamshi

wasa

/wasa/