Ufafanuzi wa wasili katika Kiswahili

wasili

kitenzi sielekezi

  • 1

    fika mahali ulipoazimia kwenda baada ya mwendo au safari.

    fika

Asili

Kar

Matamshi

wasili

/wasili/