Ufafanuzi wa wasilisha katika Kiswahili

wasilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    kabidhi au peleka kitu mahali kinapohitajika.

    fikisha, salimisha

Matamshi

wasilisha

/wasili∫a/