Ufafanuzi wa wasta katika Kiswahili

wasta

nominoPlural wasta

  • 1

    mtu wa kati asiyependelea upande wowote.

Asili

Kar

Matamshi

wasta

/wasta/