Ufafanuzi wa wee! katika Kiswahili

wee!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika kumwita mtu, agh. kwa dharau au kumwonya.

    ‘Wee Ukinichokoza nitakupiga’

Matamshi

wee!

/wɛ:/