Ufafanuzi wa wendo katika Kiswahili

wendo

nominoPlural nyendo

  • 1

    mpango na mfuatano wa matukio kulingana na miezi, miaka, wakati, n.k. wa kutukia kwayo.

Matamshi

wendo

/wɛndɔ/