Ufafanuzi wa wigi katika Kiswahili

wigi

nominoPlural mawigi

  • 1

    nywele bandia zinazovaliwa kichwani ili kubadili wajihi wa mtu au sura ya kichwa.

Asili

Kng

Matamshi

wigi

/wigi/