Ufafanuzi wa wilibaro katika Kiswahili

wilibaro, baro

nominoPlural wilibaro

  • 1

    aina ya rukwama, mkokoteni au toroli ndogo ya chuma, yenye mikono miwili mirefu nyuma na gurudumu moja mbele, inayotumiwa shambani, kwenye ujenzi au nje nyumbani kubebea vitu k.v. mchanga, mboga, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

wilibaro

/wilibarɔ/