Ufafanuzi msingi wa wimbi katika Kiswahili

: wimbi1wimbi2wimbi3wimbi4

wimbi1

nominoPlural mawimbi, Plural wimbi

 • 1

  mtutumko wa maji baharini, ziwani au mtoni.

 • 2

  mtutumko wa sauti au nuru zinazosafiri katika hewa.

  ‘Mawimbi ya sauti’
  ‘Mawimbi ya nuru’

Matamshi

wimbi

/wimbi/

Ufafanuzi msingi wa wimbi katika Kiswahili

: wimbi1wimbi2wimbi3wimbi4

wimbi2

nominoPlural mawimbi, Plural wimbi

 • 1

  alama ya mstari wenye matao.

 • 2

  ‘wimbi’.

Matamshi

wimbi

/wimbi/

Ufafanuzi msingi wa wimbi katika Kiswahili

: wimbi1wimbi2wimbi3wimbi4

wimbi3

nominoPlural mawimbi, Plural wimbi

 • 1

  msukumo mkubwa usioweza kuzuilika kwa urahisi.

  ‘Mjini kumezuka wimbi la wizi wa kutumia pikipiki’

Matamshi

wimbi

/wimbi/

Ufafanuzi msingi wa wimbi katika Kiswahili

: wimbi1wimbi2wimbi3wimbi4

wimbi4

nominoPlural mawimbi, Plural wimbi

Matamshi

wimbi

/wimbi/