Ufafanuzi wa yamkini katika Kiswahili

yamkini, yumkini

kielezi

  • 1

    yawezekana; penginepo.

    ‘Yamkini yeye ndiye aliyeanza kumpiga’

Asili

Kar

Matamshi

yamkini

/jamkini/