Ufafanuzi wa Yesu katika Kiswahili

Yesu

nominoPlural Yesu

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwana wa Mungu kama wanavyoamini Wakristo.

  • 2

    Kidini
    mmoja miongoni mwa nafsi za Utatu Mtakatifu katika dini ya Ukristo.

Asili

Kbr

Matamshi

Yesu

/jɛsu/