Ufafanuzi wa yeyuka katika Kiswahili

yeyuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    geuka kwa kitu kigumu kuwa kiowevu kwa sababu ya joto k.v. barafu kuwa maji.

    ‘Barafu imeyeyuka’

Matamshi

yeyuka

/jɛjuka/