Ufafanuzi wa zaka katika Kiswahili

zaka

nominoPlural zaka

Kidini
  • 1

    Kidini
    mali au malipo yanayomlazimikia Mwislamu kutoa kila mwaka kutokana na mali yake kulingana na kiwango kilichowekwa na sheria ya Uislamu ili yasaidie wasiojiweza au yasaidie shughuli nyingine za ustawi wa jamii kwa jumla.

  • 2

    Kidini
    moja ya kumi ya pato ambalo waumini wa baadhi ya madhehebu ya Ukristo hutarajiwa kutoa kwa ajili ya shughuli za kanisa.

Asili

Kar

Matamshi

zaka

/zaka/