Ufafanuzi wa zamani katika Kiswahili

zamani

nominoPlural zamani

  • 1

    kitambo cha miaka mingi iliyopita.

    dahari, kale

Asili

Kar

Matamshi

zamani

/zamani/