Ufafanuzi wa zawadi katika Kiswahili

zawadi

nominoPlural zawadi

  • 1

    kitu atunukiwacho mtu kuwa ni ishara ya mapenzi, wema au kwa utendaji mzuri wa shughuli.

    atia, mboni, takrima, tunu, azizi, hadia, hidaya, hiba

Asili

Kar

Matamshi

zawadi

/zawadi/