Ufafanuzi wa zee katika Kiswahili

zee

kivumishi

  • 1

    -a miaka mingi; -liyoishi miaka mingi.

    ‘Mtu mzee’

  • 2

    -enye kuchakaa.

    kuukuu

Matamshi

zee

/zɛ:/