Ufafanuzi wa zeeka katika Kiswahili

zeeka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  pungua nguvu kwa sababu ya kuishi miaka mingi.

  ‘Babu yangu amezeeka’
  konga

 • 2

  ‘Gari hili limezeeka sasa’
  chakaa

Matamshi

zeeka

/zɛ:ka/