Ufafanuzi wa ziaka katika Kiswahili

ziaka

nomino

  • 1

    kitu maalumu kinachotengenezwa kwa ngozi na ambacho hutumiwa kwa kuwekea mishale.

    podo, pongono, riaka

Matamshi

ziaka

/zijaka/