Ufafanuzi wa zio katika Kiswahili

zio

nominoPlural zio

  • 1

    kiguzo kitumiwacho pamoja na vingine kufungia vipande vya uzio wakati wa kuambika baharini.

Matamshi

zio

/zijɔ/