Ufafanuzi wa zomea katika Kiswahili

zomea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~sha, ~wa

  • 1

    toa sauti kwa ajili ya kudhihaki au kudharau jambo linalotendwa na mtu.

    ‘Alipoanguka, watoto walimzomea’
    vuma

Matamshi

zomea

/zɔmɛja/