Ufafanuzi wa zulia katika Kiswahili

zulia

nominoPlural mazulia

  • 1

    kitu kama mkeka kilichotengenezwa kwa k.v. kitani, pamba au sufu ambacho hutandikwa chini.

Asili

Kar

Matamshi

zulia

/zulija/