Ufafanuzi wa zumbua katika Kiswahili

zumbua

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    kuwa na uwezo wa kupata kitu au mahitaji, agh. ya lazima.

    ‘Unakuja kuniomba pesa hali chakula changu mwenyewe sikizumbui!’

  • 2

    ‘Ameshazumbua balaa jingine’
    anzisha

Matamshi

zumbua

/zumbuwa/