Ufafanuzi wa zuzua katika Kiswahili

zuzua

kitenzi sielekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

 • 1

  fanya kutokuwa makini.

  ‘Naona anajizuzua bure wala hana analopata’
  hangaisha

 • 2

  fanya mtu kuwa mpumbavu.

 • 3

  vimbisha mtu kichwa kwa kumsifu sana.

Matamshi

zuzua

/zuzuwa/